Monday, October 15, 2012

RAIS AZIMA MWENGE WA UHURU MKOANI SHINYANGA



 Rais Jakaya Kikwete akipokea mwenge kutoka kwa kiongozi wa mbio za mwenge wa mwaka 2012 Captain Honest Mwanossa wakati wa sherehe za kuzima mwenge zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga tarehe 14.10.2012.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti na kikombe Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Ms Margareth Nyalile ambaye Manispaa yake ilishinda nafasi ya kwanza katika kufanikisha mbio za mwenge mwaka huu. Sherehe za kuzima mwenge zilifanyika mjini Shinyanga tarehe 14.10.2012
PICHA NA JOHN LUKUWI. 

No comments:

Post a Comment