Wednesday, October 17, 2012

UZINDUZI WA CHUO CHA MAFUNZO CHA BENKI YA EXIM JIJINI DAR



 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Selestine Gesimba akikata utepe kuzindua chuo cha mafunzo cha Benki ya Exim jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Exim Yogesh Manek. Picha na Mpiga Picha Wetu.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Exim Yogesh Manek (kulia)akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Selestine Gesimba wakati wa uzinduzi wa chuo cha mafunzo cha Benki ya Exim jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Exim Yogesh Manek (kushoto) akitoa zawadi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi Selestine Gesimba wakati wa uzinduzi wa chuo cha mafunzo cha Benki ya Exim jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment