Dkt.Bilal Amjulia Hali Sheikh Wa Bagamoyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Bagamoyo, Sheikh Abdallah Masoud
Jembe, anayesumbuliwa na maradhi, wakati Makamu wa Rais alipofika
nyumbani kwa Sheikh huyo, eneo la Ramiah mjini Bagamoyo, leo Nov 27,
2012 kwa ajili ya kumjulia hali.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Sheikh wa Bagamoyo, Sheikh Abdallah Masoud Jembe,
wakati alipofika nyumbani kwa sheikh huyo eneo la Ramiah mjini
Bagamoyo, leo Nov 27, 2012 kwa ajili ya kumjulia hali kutokana na
maradhi yanayomsumbua sheikh huyo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,
Ahmed Kipozi. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment