Sunday, November 4, 2012

MAMLAKA YA UDHIBITI WA MIFUKO YA JAMII (SSRA) YATOA SEMINA KWA WABUNGE KUHUSU SEKTA YA HIFADHI YA JAMII DODOMA LEO


 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akifuatilia maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mifuko ya Jamii Bi. Irene Isaka (Hayupo Pichani) alipokuwa akiwasilisha maada kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu Sekta ya Hifadhi ya Jamii Nchini. Wengine ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi Mhe. Andrew Chenge pamoja na Waziri wa Kazi na ajira Mhe. Gaudensia Kabaka.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Dkt. Emmanuel Humba akitoa maelezo kuhusu huduma za Mfuko Taifa wa Bima ya Afya kwa Waheshimiwa Wabunge katika Ukumbi wa Pius Msekwa Dodoma.

Wadau kutoka Mifuko ya Jamii wakifuatilia mada hizo.Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge

No comments:

Post a Comment