Monday, November 19, 2012

MSANII JOHN MAGANGA KUTOKA NA FILAMU YA BEAUT FOOLS



MSANII wa Filamu nchini anaekuja kwa kasi ya ali ya juu John Maganga ameamua kuanzisha kampuni yake kwa ajili ya kazi za sanaa akizungumza na mwandishi wetu Dar Es salaam jana amesema amefungua Kampuni yake ijulikanayo kwa jina la Jom Entertainment Co. Ltd

Kwa ajili ya kazi mbalimbamba za sanaa akizungumzia jinsi alivyojingiza katika Tasnia hiyo Maganga anmease alianza kuona kipaji chake tangia mwaka 2001 alipokuwa akifundishwa na msanii nguli wa filamu nchini Ndumbago Misayo 'Thea' ambaye alikuwa mwalimu wake wa maigizo wakati wapo kanisani pale Mwananyamala.

Ndipo baadae na mimi nikaja kujijua kuwa nina kipaji cha kuigiza nikanza kucheza filamu ya kwanza iliyokwenda kwa jina la Miracle of Love  ambayo ilifanya vizuri sana katika kumtambulisha kisanaa nchini

Mwaka 2008 nikashauliwa na ndugu yangu Deogratios Shija kuwa mimi nina kipaja cha kushiliki filamu kubwa hapa nchini ndio mana sikusita kufungua Kampuni yangu kwa ajili ya kuendeleza fani hii

Ambapo kwa sasa niko njiani kutoa filamu ya Beaut Fools aliyowashilikisha wasanii kama Aunt Ezekier,Hji Salumu 'MBoto' na wengine wengi

Msanii huyo aliyeimwagia sifa kem kem Kampuni ya Steps Entatainment ya jijini Dar es salaam kwa kufanya kazi vizuri na wasanii nchini.

No comments:

Post a Comment