Wednesday, November 21, 2012

SKYLIGHT BAND INAVYOZIDI KUPAGAWISHA MASHABIKI @ THAI VILLAGE - MASAKI JIJINI DAR.


Wapiga vyombo wa SKYLIGHT BAND wakiwapa raha mashabiki.
Kifaa kipya cha SKYLIGHT BAND kikicharaza Gitaa.
Aneth Kushaba AK47 katika hisia kali.
SAM, Aneth Kushaba AK 47, Mary Lukas na Sony Masamba wakitoa burudani mwishoni mwa juma katika kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam.
Zao wa BSS Mary Lukas akiwapa raha mashabiki.
Kijana SAM wa SKYLIGHT BAND akiimbia kwa hisia kali.
Shabiki akionekana kukunwa na sauti za warembo wa SKYLIGHT BAND.
Pichani Juu na Chini Mashabiki wa SKYLIGHT BAND wakisakata mduara kwa raha zao.

No comments:

Post a Comment