Wednesday, November 14, 2012

STARS WACHIJUA CCM KIRUMBA KUIKABILI HARAMBEE STARS YA KENYA.


 Kolikipa wa timu ya Taifa Stars, Juma Kaseja akifanya mazoezi katika Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza akijiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Harambee Stars ya Kenya inayotarajiwa kuchezwa lkesho katika Uwanja huo.
  Kocha wa timu ya Taifa Stars, Kim Poulsen akizungumza na wachezaji wakati wa mazoezi katika Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza wakijiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Harambee Stars ya Kenya inayotarajiwa kuchezwa kesho katika Uwanja huo.
  Mchezaji wa timu ya Taifa Stars, Othuman Idd Chuji (kulia) akiwaelekeza wachezaji wenzake staili mpya ya kushangilia wakati wa mazoezi katika Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza wakijiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Harambee Stars ya Kenya inayotarajiwa kuchezwa kesho katika Uwanja huo.
  Mchezaji wa timu ya Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akimfunga golikipa Juma Kaseja wakati wa mazoezi katika Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza wakijiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Harambee Stars ya Kenya inayotarajiwa kuchezwa kesho katika Uwanja huo.
  Kocha wa timu ya Taifa Stars, Kim Poulsen akizungumza na wachezaji,Mbwana Samata (kulia) na Thomas Ulimwengu wakati wa mazoezi katika Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza wakijiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Harambee Stars ya Kenya inayotarajiwa kuchezwa kesho katika Uwanja huo.
Mchezaji wa timu ya Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akimfunga golikipa Juma Kaseja wakati wa mazoezi katika Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza wakijiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Harambee Stars ya Kenya inayotarajiwa kuchezwa leo katika Uwanja huo.

No comments:

Post a Comment