Tuesday, November 27, 2012

Tigo Yadhamini Mpango Wa Taifa Wa Damu Salama.



Meneja wa Mpango Taifa wa Damu Salama Dkt. Elesper Nyka akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 32 kwa madhumuni la kushawishi jamii kujitolea kutoa damu kwa hiari.
Afisa Masoko wa kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo Bw. Alex Msigara (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na kampuni hiyo kudhamini Mpango wa Taifa wa damu Salama wenye madhumuni ya kuelimisha jamii mkoani Lindi kuhusu umuhimu wa utoaji damu salama. Kushoto ni Meneja wa Mpango Taifa wa Damu Salama Dkt. Elesper Nyka na kulia ni Tully Mwaikenda.

No comments:

Post a Comment