TIKETI ZA VIP SASA ZINAPATIKANA
Promota
wa mchezo wa masumbwi Mohamed Bawazir katikati akiwainua mikono juu
bondia Fransic Miyayusho kushoto na Nassibu Ramadhani wakati wa
kutambulisha mpambano wao utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba
siku ya DECEMBER 9, 2012. Tiketi za
VIP za mpambano huo kwa sasa zipo tayali kwa maitaji ya kuwai kununua
mapema kabla azijaisha wasiliana na Promota kupitia namba 0715 666686 Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
No comments:
Post a Comment