Thursday, November 8, 2012

VIGEZO VYA KUMRITHI ASIA DACHI HIVI HAPA SASA..!!



      (Asia Dachi-unique model of a year 2010)
Vigezo vya kujiunga na ushiriki washindano hilo :-
Pia vigezo vya mshiriki kuwa mshindi lazima akidhi vigezo vifuatavyo na Jumla ya alama ni 100 na zimegawanyika kama ifuatavyo;-
                         (ii)     VIGEZO VYA KUSHIRIKI UNIQUE MODEL
·         Urefu usiopungua futi 5.8 na kuendelea.
·         Sura na  Umbo lenye mvuto wa kiuanamitindo.
·         Mvuto katika picha.
·         Uraia wa nchi yoyote.
·         Rangi ya ngozi na iwe asilia.
·         Umri wa miaka 18-25.
·         Tabia njema na muonekano wa heshima.
·         Uchangamfu,Uwezo wa kutambua mambo mbalimbali na kujieleza.
                    (iii)    VIGEZO VYA KUMPATA MSHINDI
              Jumla ya alama ni 100 na zimegawanyika kama ifuatavyo;-
·         sura na umbo lenye mvuto wa mwanamitindo. (Alama 30).
·         Uwezo wa ziada wa kutembea miondoko ya kimaonyesho ya nguo.(Alama 30).
·         Uwezo wa kutambua mambo mbalimbali na kujieleza (Alama 20).
·         Kujiamini na uchangamfu jukwaani.(Alama 10)
·         Nidhamu. (Alama 10)

Unique model 2012 imedhaminiwa na Giraffe ocean view hotel,Dtv,Gazeti la Tanzania Daima,mashujaa Investment ltd,
Sophernner Investment co ltd,K.d.surelia,young don records,Kiu investment ltd,Oriental bureau de change,,J’s professional ltd,Lamada apartments hotel,T-moto Entertainment,Jiachie blog,wajanja club blog,Mtaa kwa mtaa blog,Michuzi blog na Unique entertainment blog.

3 comments:

  1. Ι always emaileԁ thіs ωеb sіte post pagе to all my сontacts, beсause if like to reаd it аfterωard my contactѕ
    will too.Pinoy Videographer
    Also visit my web-site :: Same Day Edit

    ReplyDelete
  2. I have tο thank you foг the effоrts you've put in writing this website. I am hoping to check out the same high-grade content from you in the future as well. In truth, your creative writing abilities has inspired me to get my very own site now ;)http://bethel.patch.com/events/the-clone-wars-season-5-episode-9-a-necessary-bond-watch-it-for-free-online-stream
    Visit my homepage : Watch The Clone Wars Season 5 Episode 9 A Necessary Bond Online Free Stream

    ReplyDelete
  3. bdews   bedims   bedlam   bedpan   bedrid   bedrug   bedsit   beduin. AK-500 іs a carefully designed multi-purpose
    vehicle intelligent programming ѕystem that ϲɑn adaapt
    tο a vedy ցood variety ߋf programming environments.
    peering  peeving  peevish  peewees  peewits  pegging  pegless  peglike.


    Ӊave а look at mƴ hokepage :: regeneracja psg5

    ReplyDelete