WAKAZI WA ARUSHA WAJITOLEA DAMU KATIKA MPANGO WA DAMU SALAMA
Mwandishi wa habari wa wa Gazti la Uhuru kwa mkoa wa arusha
Mustapha akichangia damu mapema jana jijini Arusha, wakazi
wengi mkoani Arusha walijitokeza na kuchangia damu katika mpango wa Damu
salama mkoani humo.
Mmoja wa wanawake ambaye jina lake halikupatikana mara moja mkazi wa mkoa wa Arusha akitoa damu ,alipojitoeza kuchangia damu salama Mkoani Arusha jana,Picha na Gladness Mushi wa Fullshangwe -Arusha
No comments:
Post a Comment