Monday, November 12, 2012

WALTER CHILAMBO AIBUKA KUWA MSHINDI WA EBSS 2012


 
 Mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012(EBSS),Walter Chilambo akikabidhiwa sanduku lake lenye kitita cha Sh. milioni 50 ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee,pia katika shindano hilo lililovuta hisia za watu wengi sana,mshindi wa pili amechukua mwanadada Salma Abushir(Zanzibar) na watatu ni Wababa Mtuka(Dar).







 
Mapoudaa!!!!!!!!





Vanessa Mdee na Shadee

 
Pah one

Linah na Amini

1 comment:

  1. This ρiеce οf writing will assist the intеrnet people
    for building up new blog or even a weblog fгom stаrt to еnd.

    Save the Date
    Here is my web site ... Same Day Edit

    ReplyDelete