Tuesday, December 4, 2012

HATIMAYE GRACE KINGALAME WA TBC NA JULIUS KIHAMPA WAFUNGA NDOA!

Kihampa na mkewe Grace Kingarame

 





Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa Jambo Leo, Julius Kihampa akimvisha pete ya ndoa Mtangazaji Shirika la Utangazaji la Taifa, Grace Kingarame wakati wa kufunga pingu za maisha kwenye Kanisa la Anglikana la St Albano Dar es Salaam.


Grace Kingarame akimvisha pete mumewe Julius Kihampa mbele ya Padi Cosmas Mhina


 
Ibada ya kuwafungisha ndoa ikiendelea

 
Kihampa akimvua shela la kichwani Grace




(PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)

No comments:

Post a Comment