Watu wawili Mwanaume na mwanamke wanaotuhumiwa kwa Utapeli wameambulia
kichapo kikali kutoka kwa wananchi wenye hasira baada ya kugundulika
wanataka kumtapeli Mama mmoja kwa kutumia mbinu ya kumuonyesha DHAHABU
FEKI kwa madai kwamba wao ni wageni mjini Bukoba na wanahitaji msaada wa pesa
wao wakupe hiyo dhahabu ikiwa imefungashwa kwenye kifuniko angavu na
kitambulisho cha udhibitisho,kama utakavyo ona pichani. |
No comments:
Post a Comment