Thursday, January 3, 2013
KUKU NI LAZIMA ACHINJWE NA MWANAUME?
Mkazi wa kijiji cha Lifuma wilaya ya Ludewa akimchinja kuku kwa ajili ya maandalizi ya chakula cha mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe, hivi naomba kuuliza ni nani anayepaswa kumchinja kuku kati ya mwanaume na mwanamke?
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment