| Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Msanii wa Filamu nchini Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) likiwekwa karibu na kaburi tayari kwaajili ya mazishi jijini Dar es Salaam leo. |
| Rais Kikwete akiweka mchanga kwenye kaburi la Msanii wa Filamu Sadick Juma Kilowoko wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo. |
| Baadhi ya wasanii wakiwa na watu mbalimbali waliohudhuria mazishi ya Msanii Sadick Juma Kilowoko kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo. |
| Rais Kikwete akishuhudia safari ya mwisho ya Msanii wa Filamu nchini Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) wakati wa mazishi hayo yaliyofanyika Kisutu jijini Dar es Salaam. |
| Waandishi wa habari wakichukua matukio mbalimbali wakati wa maziko ya Msanii huyo. |
| Baadhi ya watu mbalimbali waliohudhuria kwenye msiba huo . |
| Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akihojiwa na waandishi wa habari kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya mazishi ya msanii Sadick Juma Kilowoko. |
| Rais Kikwete akiwasili kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo kwenye safari ya mwisho ya msanii wa Filamu nchini Sadick Juma Kilowoko (Sajuki). |
![]() |
| Jeneza la mwili wa marehemu Sadick Juma Kilowoko, ukienda kupakizwa kwenye gari. |
![]() |
| Wakisoma dua baada muda mfupi kabla ya kuondoka nyumbani kwake. |


No comments:
Post a Comment