Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua
rasmi kituo cha kutunzia na kusambazia fedha cha Benki Kuu ya Tanzania
katika jengo la Benki ya Watu wa Zanzibar Chake chake Pemba.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,
sambamba na
Viongozi wa Taasisi za Fedha akiwapungia mkono Wananchi wa Chake chake (hawako pichani)
mara baada ya kufungua kituo cha kutunzia na kusambazia fedha cha BOT
katika jengo la Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Chake chake Pemba.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Nd. Juma Amour
Mohammed, alipowasili kwenye ofisi za PBZ Chake chake Pemba kufungua kituo cha
kutunzia na kusambazia fedha cha BOT.
No comments:
Post a Comment