Hawa Sulemani akijisomea
moja ya vipeperushi vya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania baada ya
kugawiwa katika semina ya Majukumu ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki
iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia kwa kuwashirikisha viongozi mbalimbali wa wilaya hiyo.
Mhasibu
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Patrice Lumumba akiwagawia
baadhi ya washiriki wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano
Kanda ya Mashariki vipeperushi na majarida yenye ujumbe mbalimbali iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia.
Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia wakijisomea majaridi yenye ujumbe mbalimbali na Kazi za Mamlaka hiyo. Baaada ya kugawiwa na Mhasibu wa TCRA BW.Patrice Lumumba.
Washiriki wa semina ya Majukumu ya
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika
Wilaya ya Mafia wakishiriki katika zoezi la kutambua simu bandia.wakati
walipokuwa wakionzwa na Afisa Utumishi Mkuu Esuvatie Masinga (hayupo
pichani)
Mhandisi wa Masafa wa Mamlaka ya Mawssiliano Kanda ya Mashariki Stella Bunyenza akitoa mada ya Ukuaji wa Teknolojia wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawsiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia.
Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzania Kanda ya Mashariki Patrice Lumumba akitoa maada ya Mfumo wa
Anuani za Makazi na Posti Kodi wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka
ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyofanyika Wilayani Mafia.
Mkuu wa Wilaya ya Mfia Sauda Mtondoo akimkabidhi Prudence
Nyombi zawadi ya King’amuzi cha Star timu baada ya kujishindia kutokana
na kujibu swali aliloulizwa juu ya matumizi ya Mawasiliano, wakati wa
Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki
iliyofanyika Wilayani Mafia.katikati ni Mkurugenzi wa Watumiaji na Watoa
Huduma za Mawasiliano Dk. Raymond Mfungahema akishuhudia.
01. Mkurugenzi
wa Watumiaji na Watoa Huduma za Mawasiliano Dk. Raymond Mfungahema
akimkabidhi zawadi ya simu aina ya Nokia Mkuu wa Wilaya ya Mafia
Bi,Sauda Mtondoo wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawsiliano
Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia.
No comments:
Post a Comment