Mpishi Mkuu wa Bar ya
 Victoria Princes, Joseph Swai akishangilia mara baada ya kutangazwa 
mshindi wa fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma Mkoa wa Mwanza 
yaliyofanyika katika viwanja vya furahisha mwishoni mwa wiki.
 Wacheza shoo wa Bendi ya Africana ya jijini Mwanza wakicheza wakati wa 
fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma yaliyofanyika katika Viwanja
 vya Furahisha mwishoni mwa wiki.
 Mpishi Mkuu wa Victora Princes, Joseph Swai akishangilia na kitita cha 
shilingi milioni moja mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya 
Nyamagana jijini Mwanza, Amina Masenza (kushoto kwake) ikiwa ni Mabingwa
 wa fainali za mashindano ya Safari Nyama Choma 2013 Mkoa wa Mwanza 
yaliyofanyika katika viwanja vya furahisha mwishoni mwa wiki.Kulia ni 
Meneja mauzo na usambazaji wa kanda ya ziwa , Malaki Sitaki na Meneja wa
 Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
 Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza, Amina Masenza (kulia) 
akimkabidhi kitita cha shilingi milioni moja Joseph Swai wa Bar ya 
Victoria Princes mara baada ya kuibuka mabingwa wa fainali za mashindano
 ya Safariri Nyama Choma yaliyofanuika katika Viwanja vya furahisha 
mwishoni mwa wiki.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar 
Shelukindo.
No comments:
Post a Comment