Askofu Dkt Boaz Sollo akimkabidhi tuzo ya  heshima waziri mkuu  mstaafu  Edward Lowassa mjini Iringa jumapili  iliyopita
Mfanyakazi wa radio Overcomers Adela kivamba akisalimiana na Lowassa
Kiongozi wa watuma salam mkoa wa Iringa Baba Mwadhan akisalimiana na Lowassa
Mwanahabari wa Minja akisalimiana na Lowassa
Mtangazaji wa radio Overcomers Fm Denis Nyali akisalimiana na Lowassa
Lowassa akisalimiana na waumini wa OPC katikati ni Tresia Mapiu aliyepata ajali mbaya ya piki piki wakati akitoka kumpokea Lowassa








No comments:
Post a Comment