Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Rcihard Lyimo (kushoto) akizungumza
wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya
kilichofanyika leo (jumanne, April 2, 2013) katika Ofisi za Tume Jijini
Dar es Salaam. Wengine ni Wajumbe wa Tume, Maria Kashonda (katikati)
na Said El- Maamry.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Salama Kombo Ahmed (katikati)
akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu
Katiba Mpya kilichofanyika leo (jumanne, April 2, 2013) katika Ofisi
za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine ni Wajumbe wa Tume, Abubakar Ali
(kushoto) na Mhe. Al-Shaymaa Kwegyir (kulia)
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mhe. Raya Suleiman Hamad (kushoto)
akizungumza wakati wa kikao cha uchambuzi wa maoni ya wananchi kuhusu
Katiba Mpya kilichofanyika leo (jumanne, April 2, 2013) katika Ofisi
za Tume Jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni Wajumbe wa Tume,
Humphery Polepole na Jesca Mkuchu.Picha na Tume ya Katiba
No comments:
Post a Comment