Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslih Haji, akizungumza na
Wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Jimbo la Chwaka mara baada ya
makabidhiano ya Computer 15, ikiwa ni sehemu ya ahadi ya Makamu wa Rais
Kwenye Kituo cha Chwaka Computer Training Center. Kulia ni Mwenyekiti
wa Kamati ya Maendeleo ya Chwaka Bw. Muhammed Ali (kushoto) ni Shekha wa
Shehia ya Chwaka Bw. Msaraka Pinja na Mtendaji Mkuu wa Sayansi na
Teknolojia Bw George Mulamula. Makabidhiano hayo yalifanyika jana
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslih Haji (kulia)
akikabidhiwa sehemu ya Compyuta 15, na Mtendaji Mkuu Ofisi ya Tume ya
Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Bw. George Mulamula, ambapo Mkuu huyo wa
mkoa wa Kusini unguja, alizikabidhi kwa Mwenyekiti wa Kamati ya
Maendeleo ya jimbo la Chwaha Bw. Muhammed Ali Selemani, kwa niaba ya
Mhe. Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kwa ajili ya Kituo cha Chwaka Compyuter
Training Center, ikiwa ni sehemu ya ahadi ya Mhe. Makamu Dkt. Bilal kwa
kituo hicho. Makabidhiano hayo yalifanyika jana. kwenye Kituo hicho.
Kulia ni . Kushoto ni Naibu Katibu wa Makamu wa Rais, Mohamed Khamis.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslih Haji (kulia)
akikabidhi sehemu ya Compyuta 15, kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kwa Mwenyekiti wa
Kamati ya Maendeleo ya jimbo la Chwaha Bw. Muhammed Ali Selemani, ikiwa
ni sehemu ya ahadi ya Mhe. Makamu, kwa Kituo hicho cha Chwaka Computer
Training Center. Makabidhiano hayo yalifanyika jana kwenye Kituo hicho.
Kulia ni Mtendaji Mkuu Ofisi ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)
Bw. George Mulamula
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya jimbo la chwaka
wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kusini Uguja, (hayupo pichanio) wakati
alipokua akizungumza baada ya makabidhiano hayo, alipomwakilisha Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Bilal.Picha na OMR
No comments:
Post a Comment