Afisa ushirika wa mkoa wa Iringa, John Kiteve wa (wa pili kulia)
akimkabidhi kikombe nahodha wa klabu ya Garden, Said amaohamed, mara baada ya
kuibuka mabingwa katika fainali za mashingano ya Safari Pool Taifa ngazi ya
mkoa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.Kulia ni Meneja mauzo wa Mkoa
wa Iringa, Philipo Kabecha na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
Nahodha Saidi Mohamedi akikabidhiwa Kikombe
Afisa
ushirika wa mkoa wa Iringa, John Kiteve(kulia) akimkabidhi kitita cha fedha
taslimu shilingi 700,000/= nahodha wa klabu ya Garden , Said Mohamed mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za
mashingano ya Safari Pool Taifa ngazi ya mkoa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki
mkoani humo.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Meneja
wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na wachezaji kuhusu bia ya
Safari
Wachezaji
wa Klabu ya Garden wakishangilia mara baada ya kuibuka mabingwa
Meneja wa
Bia ya Safari Lager , Oscar Shelukingo (kulia) akimkabidhi kitita cha fedha
taslimu shilingi 350,000/= bingwa wa Singles wanaume , Good Lover Ntalange
kutoka klabu ya Garden katika fainali za mashingano ya Safari Pool
Taifa ngazi ya mkoa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani humo.
Wachezaji wa
Klabu ya Garden Mkoani Iringa wakishangilia ubingwa wa mashindano ya Safari
Pool Mkoa wa Iringa.
Wachezaji wa
Klabu ya Garden Mkoani Iringa wakishangilia ubingwa na kikombe mara baada ya kukabidhiwa wakati wa
fainali za mashindano ya Safari Pool
Mkoa wa Iringa.
No comments:
Post a Comment