Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Asangye Bangu
akiongea na waandishi wa habari Wakati wa kutangaza kuanza kutumika kwa
Huduma ya M-pesa kukusanyia marejesho ya mikopo kwa wanufaika wa bodi
hiyo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim na
Mkurugenzi wa Urejeshaji Mikopo wa Bodi Juma Chagonja.
Meneja
Uhusiano wa Nie wa Vodacom Salum Mwalim akiongea Wakati wa uzinduzi wa
huduma ya urejeshaji mikopo kwa Bodi ya Elimu ya Juu nchini kwa kutumia
M-pesa. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo Asangye Bangu
na Mkurugenzi wa Urejeshaji wa Mikopo Juma Chagonja.
No comments:
Post a Comment