Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano na maonyesho ya pili ya
siku mbili ya Mafuta na Gesi, yaliyoanza leo kwenye Ukumbi wa Mwalimu
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Sehemu
ya washiriki wa Kongamano hilo, wakiwa ukumbini humo wakimsikiliza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal.
Sehemu
ya Wabunge walioshiriki Kongamano hilo, wakiwa ukumbini humo
wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal.
Sehemu
ya washiriki wa Kongamano hilo, wakiwa ukumbini humo wakimsikiliza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal.
Sehemu
ya washiriki wa Kongamano hilo, wakiwa ukumbini humo wakimsikiliza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi ya Kikombe na cheti, Makamu Mwenyekiti wa 'Ewura
Consumer Consultive Council', Said Abeid, wakati wa ufunguzi wa
Kongamano na maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na Gesi,
yaliyoanza leo kwenye Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi ya Kikombe na cheti, Mwakilishi wa EWURA, wakati wa
ufunguzi wa Kongamano na maonyesho ya pili ya siku mbili ya Mafuta na
Gesi, yaliyoanza leo kwenye Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar
es Salaam.
Dkt.
Bilal (katikati) Waziri wa Nishati na Madini, Prof Muhongo (kushoto) na
Naibu Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, Eng. Mwihava.
No comments:
Post a Comment