Monday, October 21, 2013

TBL YAWAPATIA MAMILIONI YA FAIDA WAKULIMA WA YA ZAO LA SHAYIRI MONDULI



 Meneja Shayiri (Barley Manager) wa Kampuni ya Bia nchini (TBL), Dk. Bennie Basson (kushoto) akimkabidhi mfano wa Hundi mkulima wa zao hilo katika kijiji cha Emairete, Kata ya Monduli Juu wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha , John Koira Laizer sh. mil. 16 iliyotokana na mapato ya mavuno ya shayiri kwenye shamba lake. Pia TBL ilimuwezesha mkulima huyo pembejeo na utalaamu vilivyosababisha apate mavuno mazuri.
 Mkulima wa zao Shayiri katika Kijiji cha Emairete,Kata ya Monduli Juu, wilayani Monduli, Arusha, John Laizer (kulia) akiishukuru Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kijijini hapo, baada ya kukabidhiwa faida ya sh. mil. 16 iliyotokana na mapato ya mavuno ya shayiri kwenye shamba lake. Pia TBL ilimuwezesha mkulima huyo pembejeo na utalaamu vilivyosababisha apate mavuno mazuri. Kushoto ni  Meneja Shayiri wa TBL,Dk. Bennie Basson.
Meneja Shayiri (Barley Manager) wa Kampuni ya Bia nchini (TBL), Dk. Bennie Basson ( Wa tano kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wakulima wa zao hilo, katika kijiji cha Emairete,Kata ya Monduli Juu wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha wanalima kwa  msaada wa kitaalamu,kulia ni Afisa Ugani wa TBL, Editha Temu.

No comments:

Post a Comment