Wachezaji
wa timu ya Taifa ya Safari Pool ya Tanzania wakiwa na medali zao za
Fedha mara baada ya kutunukiwa kwa kupata nafasi ya tatu katika
mashindano ya Pool Afrika yaliyofanyika jijini Blantyre Malawi mwishoni
mwa wiki.
Wachezaji
na mashabiki wa timu ya Safari Pool kutoka Tanzania wakishandilia na
mchezaji Patrick Nyangusi mara baada ya kutwaa ubingwa wa mchezaji mmoja
mmoja (Singles) Afrika uliofanyika Blantyre Malawi mwishoni mwa wiki.
Wachezaji
na mashabiki wa timu ya Taifa ya Safari Pool ya nchini Tanzania wakiwa
wamembeba mchezaji,Patrick Nyangusi mara baada ya kutwaa ubingwa wa
Afrika wa mchezaji mmoja mmoja (Singles) kwa kumfunga Vishen Jagdev wa
Afrika Kusini 6-4,katika mchezo uliofanyika Blantyre Malawi mwishoni mwa
wiki.
Bingwa
wa Afrika wa mchezo wa Pool kutoka Tanzania, Patrick Nyangusi akicheza
dhidi ya mpinzani wake, Vishen Jagdev kutoka Afrika Kusini (hayupo
pichani) wakati wa mchezo wa fainali uliofanyika Blantyre Malawi
mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment