Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na
Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara (kushoto) akipeana mkono na Balozi
wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing wakati akipokea Msaada wa
Pikipiki 20 zilizotolewa kwa Kampuni ya Uchapishaji wa Magazeti ya
Serikali (Tanzania Standard Newspapers),wakati wa hafla fupi
iliyofanyika leo nje ya Jengo la Golden Jubilee,Jijini Dar es
Salaam.Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN,Gabriel Nderumaki.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na
Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara (kushoto) na Balozi wa China nchini
Tanzania,Mh. Lu Younqing wakiwa wamepanda pikikipi hizo ikiwa ni ishara
ya kuzizindua kwa ajili ya Matumizi.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akipanda kwenye moja ya pikipiki hizo.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akitoa hotuba yake wakati wa hafla hiyo.
Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing akizunzumza machache wakati wa hafla hiyo.
Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN,Gabriel Nderumaki akizungumza.
Mwenyekiti wa Bodi ya TSN,Prof. Moses
Warioba akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi,Mh. Dkt.
Fenella Mukangara kuzungumza na Wafanyakazi wa TSN na wageni mbali
mbali kutoka China.
Mwenyekiti wa Wafanabiashara wa China,Bw. Huan Zan Sen akizungumza machache.
Mwenyekiti wa Bodi ya TSN,Prof. Moses
Warioba (kushoto) akimkabidhi Zawadi kwa Waziri wa
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na
Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akikabidhi zawadi kwa Balozi wa China
nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na
Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akiteta jambo na Kaimu Mhariri
Mtendaji wa TSN,Gabriel Nderumaki.
Meza Kuu.
Baadhi ya Wafanakazi wa Kampuni ya TSN kutoka katika Idara mbali mbali.
Picha ya Pamoja.
No comments:
Post a Comment