Ukiwataka FFU lazima uweke ulinzi mkali
Promota wa muziki awekewa masharti magumu na serikali ya jiji la Koloni,
Promota
wa muziki jijini Koloni Bw.Peter Betram (mjerumani),amejikuta
akiwekewa masharti magumu katika juhudi zake za kutaka kuandaa onyesho
kubwa la muziki katikati ya jiji la Koloni,nchini Ujerumani,kwa mda wa
miaka miwili sasa poromota huyo amekuwa akilalamikia almashauri ya jiji
kubwa la koloni kwa kumwekea ngumu katika kuandaa onyesho la muziki.
Kuanzia
mwaka 20012 aliambiwa apeleke orodha ya bendi anazohitaji kuzipandisha
jukwaani,baada ya kuonekana jina la bendi ya Ngoma Africa katika orodha
hiyo,serikali ya jiji imemwagiza mtayarishaji wa onyesho hilo lazima
akubali kuingia gharama za ziada kwa ajili ya ulinzi kutoka na
msongamano wa washabiki,pia
kapewa sharti lingine lazima onyesho hilo liwe nje ya mji sio kitovuni
mwa jiji,kutokana na kuepuka msongamano wa washabiki wa Ngoma Africa
band aka FFU ughaibuni yenye tabia za kuwadatisha akili washabiki wake.
Poromota amejikuta akivimba macho na kutojua nini? cha kufanya.
Wadaku
walipo mtafuta kiongozi wa Ngoma Africa band kamanda Ras Makunja kutaka
kupata mtazamo wake,kamanda alijibu kuwa kikosi chake kipo tayari
tayari na wakati wowote ule watakapoitwa na poromota huyo,Ras Makunja
alikili kuwa muda wa miaka miwili Poromota amekuwa akiwapigia simu,na
bendi ipo tayari kama matayarisho yatakamilika alisema Kamanda Ras
Makunja,
Mdodosa
habari alipo hoji swala la kulikoni kamanda kumiliki bundi katika
himaya ya "Anunnaki Empire" Kamanda Ras Makunja kakata simu..!!! sijui
kama aliishiwa chaji au aliondoka ki - FFU kwa mwendo wa kasi !? tu Any
way tuwatafute kambini kwao www.ngoma-africa.com
No comments:
Post a Comment