Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa Waterloof Air
Force Base jijini Pretoria, Afrika ya Kusini Jumatatu Oktoba 4, 2013
tayari kuhudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo
kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa
mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Meza
kuu katika mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa
Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa
kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini
Rais
Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi
ya Kongo wakiwa katika mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo
kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa
mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya
ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika
ya Kusini, usiku wa kuamkia leo Oktoba 5, 2013.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment