Baadhi ya washiriki wa Shindano la Tanzania Model 2013 kati ya 
washiriki wote 14 wameanza mazoezi ya pamoja katika kambi yao iliyopo 
katika Hoteli ya JB Belmont kujiandaa na mchuano wa kuwania taji la 
uanamitindo bora wa mwaka 2013.
 Wanamitindo
 hao wako na hali ya mashindano huku mwalimu wa mazoezi ya miondoko ya 
kimaonyesho akiwa na kazi kubwa ya kuhakikisha kila mwanamitindo anaiva 
kimazoezi.
Wanamitindo hao wakijifua.
No comments:
Post a Comment