Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeeman Mbowe akizungumza kwenye kikao hicho (Picha:CHADEMA Blog) |
TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa CHADEMA kimeamua
kumsimamisha na kumvua nyadhifa zote aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wake na
Mbunge wa Kigoma Kaskazini na wamempa muda wa saa 78 kujieleza kwa nini
asifukuzwse chamani kimoja.
MICHARAZO inafuatilia kwa kina na itawafahamisha, hii ni ikiwa ni maamuzi ya kikao cha Kamati kuu ya chama hicho kilichoanza kukutana tangu juzi.
MICHARAZO inafuatilia kwa kina na itawafahamisha, hii ni ikiwa ni maamuzi ya kikao cha Kamati kuu ya chama hicho kilichoanza kukutana tangu juzi.
No comments:
Post a Comment