Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilima shamba kwa kutumia
Trekta muda mfupi kabla ya kukabidhi trekta hilo lenye tahamani ya sh.
mil. 42, kusaidia miradi kilimo ya vijana mkoani Njombe. Hafla hiyo
ilifanyika katika shamba la vijana la heka 500 katika Tarafa ya Ikuwo,
wilayani Makete leo.
Kinana yupo katika ziara ya kuimarisha chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilanai ya Uchaguzi ya CCM.
Kinana akishuka kwenye Trekta baada ya kulima katiak hafla ya kukabidhi msaada huo wa Trekta kwa vijana wa Mkoa wa Njombe kwa ajili ya kusaidia kilimo.Anayetangaza kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Kinana akimkabidhi ufunguo Mwenyekiti wa Vijana 252 wa Tarafa ya Ikuwo, wilayani Makete, ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada Trekta uliotolewa na CCM kwa vijana wa Mkoa wa Njombe
Katibu wa NEC-CCM wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mkoa wa Njombe, baada ya msafara wa Kinana kuwasili wakitokea Mkoa wa Mbeya baada ya kumaliza ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo.
Kinana (kushoto) akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro (kulia) na kukaribishwa Mkoa wa Njombe na Aseri Msangi (katikati)
Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumlaki eneo la Mfumbi, akitokea katika ziara mkoani Mbeya.
Kinana akiungana na wananchi kucheza ngoma ya asili ya kabila la wawanji katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mlengo, Ikuwo, wilayani Makete.
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Mlengu, Tarafa ya Ikuwo wakiwa na hamu ya kumona Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akijaribu moja ya
vyerehani katika Chuo cha Ufundi Stadi VETA Makete, wakati Kinana
alipotembelea chuo hicho.
Kinana (kulia) akiangalia moja ya mashine ya kuranda mbao katika darasa la uselemala katika chuo hicho cha VETA
Kinana akinyunyizia maji kwenye mti aliopanda katika chuo hicho.
Nape akinyunyizia maji kwenye mti alioupanda katika chuo hicho
Kinana akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa CCM na viongozi
pamoja na walimu wa chuo hicho cha VETA. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD
MWAIKENDA
Kinana yupo katika ziara ya kuimarisha chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilanai ya Uchaguzi ya CCM.
Kinana akishuka kwenye Trekta baada ya kulima katiak hafla ya kukabidhi msaada huo wa Trekta kwa vijana wa Mkoa wa Njombe kwa ajili ya kusaidia kilimo.Anayetangaza kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Kinana akimkabidhi ufunguo Mwenyekiti wa Vijana 252 wa Tarafa ya Ikuwo, wilayani Makete, ikiwa ni ishara ya kukabidhi msaada Trekta uliotolewa na CCM kwa vijana wa Mkoa wa Njombe
Katibu wa NEC-CCM wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha Rose Migiro (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Makete, Mkoa wa Njombe, baada ya msafara wa Kinana kuwasili wakitokea Mkoa wa Mbeya baada ya kumaliza ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo.
Kinana (kushoto) akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro (kulia) na kukaribishwa Mkoa wa Njombe na Aseri Msangi (katikati)
Kinana na Nape wakiongozwa na Chipukizi walipoingia wilaya ya Makete kuanza ziara katika Mkoa wa Njombe. |
Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumlaki eneo la Mfumbi, akitokea katika ziara mkoani Mbeya.
Dk. Migiro akisalimia wananchi wa katika hafla ya Kinana kukabidhi Trekta kwa vijana Mkoani Njombe leo. |
Kinana akiungana na wananchi kucheza ngoma ya asili ya kabila la wawanji katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mlengo, Ikuwo, wilayani Makete.
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Mlengu, Tarafa ya Ikuwo wakiwa na hamu ya kumona Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Mlengu, Kata ya Ikuwo, Makete. |
Kinana (kulia) akiangalia moja ya mashine ya kuranda mbao katika darasa la uselemala katika chuo hicho cha VETA
Kinana akinyunyizia maji kwenye mti aliopanda katika chuo hicho.
Nape akinyunyizia maji kwenye mti alioupanda katika chuo hicho
No comments:
Post a Comment