Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  akiwakabidhi  msaada wa madaftari Rahma Seif na Yusra Yahaya  ambao
 ni watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New Life Orphans Home
 kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula mbalimbali vilitolewa 
ikiwemo mchele na Maharage.
 Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  (kushoto) akiwa na wafanyakazi wenza katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika kituo  cha
 New Life Orphans Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam. Baada ya 
kuwa kabidhi msaada wa vyakula mbalimbali yakiwemo mafuta ya kupikia , 
mchele na sukari.
 Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Ally Changwila  akiwakabidhi  msaada wa mafuta ya kula Mohamed Achume ambaye ni miongoni mwa  watoto
 wanaolelewa katika kituo cha yatima cha New Life Orphans Home kilichopo
 Kigogo jijini Dar es Salaam. Vyakula mbalimbali vilitolewa ikiwemo 
mchele na Maharage.
Mohamed
 Achume anayelelewa katika kituo cha kule yatima cha New Life Orphans 
Home kilichopo Kigogo jijini Dar es Salaam akikabidhiwa  msaada  wa gunia la mchele na  Afisa habari wa Mamlaka ya  Usafiri wa Anga  Tanzania
 (TCAA) Ally Changwila (kushoto) ikiwa ni sehemu ya vyakula mbalimbali 
vilivyotolewa na mamlaka hiyo kwa ajiri ya watoto hao kusherehekea 
sikukuu ya krismasi.
No comments:
Post a Comment