Makamu
wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal akimlaki Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
muda mfupi baada ya Kuwasili nchini akitokea jijini New York Marekani
ambapo alikwenda kwa ukaguzi wa kawaida wa afya yake.Akiwa nachini
Marekani Rais Kikwete alialikwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana
Ban ki Moon nakufanya naye mazungumzo kuhusu ushiriki wa majeshi ya
Tanzania katika ulinzi wa Amani katika nchi mbalimbali. Picha na Freddy
Maro
Juu na chini ni Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtoto Andrew Simba (15)
aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati Rais
alipowatembelea na kuwafariji baadhi ya wagonjwa katika wodi ya
Mwaisela leo.
Rais akizungumza na mtoto huyo.
No comments:
Post a Comment