Bondia Gervas Regasiano akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake baada ya kumtwanga Antony Edowa |
Na Mwandishi Wetu
MCHEZO
wa mwisho kwa ajili ya kuhamasisha ngumi unatarajia kufanyika siku ya
alhamisi ya january 23 katika viwanja vya wazi vya Zakhem mbagala Dar es
salaam mapambano hayo ya ngumi yenye lengo la kuhamasisha tuzo za PSPF
Tanzania Boxing Awards ambazo zinafikia tamati january 25 kwa washindi
kupatiwa tuzo hizo zitakazofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es
salaam
akizungumza na waandishi wa habari makamu wa rais wa shirikisho la ngumi za ridhaa nchini Lukelo-Anderson
Willilo amesema utoaji wa tuzo hizo zitaongozwa na burudani mbali mbali
na mapambano ya masumbwi ya mabondia wa ridhaa na kulipwa ambao
wataoneshana uwezo siku hiyo alitaja burudani zitakazokuwepo siku hiyo
kuwa na FM Academia, Malkia wa Mipasho Khadija Kopa, Excel one band,tom
ongala, na kantona mgogo wa mazizi ndio burudani zitakazo tolewa kwa iku
hiyo na mgeni rasmi
hatakuwa Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fennela Mukangara ambaye
atakukuwa akishudia kwa mara ya kwanza kabisa tuzo hizo
zinazoshirikisha mabondia mbalimbali
na
namna ya kupiga kula kuchagua bondia bora wa mwaka 2013,2014 unandia
NGUMI (ACHA NAFASI) andika namba ya mshiriki iliyoorodheshwa kwenye
jina lake,kisha tuma kwenda namba 15573 kwa mfano ngumi 49 kwenda 15573
itakugalimu t sh 150b kwa kila SMS na unakumbushwa kupiga kula zaidi
kadri yuwezavyo kufanikisha mwakilishi wako ananyakuwa tuzo hiyo
No comments:
Post a Comment