Waziri Mkuu Mizengo Pinda na msafara wake wakiangalia eneo utakapochimbwa mtaro wa kupitishia bomba la gesi.
Mafundi wakiendelea na kazi ya kuunganisha mabomba kabla ya kuyalaza na kuyafukia chini kwenye mitaro.
Mkuu wa
mkoa wa Lindi akiwa na Waziri Mkuu mara baada ya kuwasili mkoani humo
na kuendelea na ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa bomba la gesi.
Mkurugenzi Mtendaji
wa kiwanda cha saruji cha MEIS Merea Barabuu akimkaribisha Waziri
Mkuu Mizengo Pinda katika hafla ya uzinduzi wa kiwanda hicho kilichopo
eneo la Machole Mkoani Lindi.
Waziri Mkuu
Mizengo Pinda akiwahutubia wananchi na wafanyakazi wa ujenzi kiwanda
cha MEIS faida zitzkazotokana na kiwanda hicho ikiwa ni pamoja na
upatikanaji wa gasi kijijini hapo kwa njia rahisi baada ya kuunganishwa
kutoka bomba kuu la gasi ikiwemo ajira kwa wanachi na upatikanaji wa
saruji kwa bei nafuu ili kuboresha makazi yao.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa kiwanda cha MEIS kilichopo eneo la Machole Mkoani Lindi.
Picha ya sura na muonekano wa kiwanda cha MEIS kitakapokamilioka.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na mafundi wanaojenga bomba la mradi wa
gasi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua mradi
huo.
Waziri
wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (katikati) akieleza hatua
iliyofikiwa katika ujennzi wa bomba la gasi linalojengwa kutoka Mtwara
hadi Dar es salaam kwa Waziri Mkuu na msafara wake. Kushoto ni Balozi wa
China nchini, Lu Younqing.
Mke
wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda akimsikiliza Waziri wa Nishati na Prof.
Madini Sospeter Muhongo akizungumzia ujenzi wa bomba la gasi eneo la
Bungu mkoa wa Pwani.(Picha zote na Eleuteri Mangi – MAELEZO-Mtwara).
No comments:
Post a Comment