Joy 
Kalemera (wapili toka kulia) akiwa College Park Maryland alipowatembelea
 darasa la kiswahili DMV siku ya Jumamosi Feb 8, 2014. Wengine katika 
picha ni waratibu wa Miss Tanzania USA akiwemo mkurugenzi Ma Winny Casey
 (wa kwanza kushoto)
 Wanafunzi
 wa darasa la kiswahili DMV wakimsalimia Miss Tanzania USA Pageant na 
kumwimbia nyimbo mbalimbali za kiswahili ukiwemo wimbo wa Taifa.
 Miss 
Tanzania USA Pageant akijitambulisha na kuwaambia yeye ni mhandisi 
anayefanyakazi New Jersey na akawauliza kama wanafahamu maana ya neno 
uhandisi na wao wakajibu hawafahamu ndipo alipowaelewesha maana yake kwa
 Kingereza.
 Wanafunzi wa darasa la kiswahili wakimsikiliza Miss Tanzania USA Pageant alipowatembelea shuleni kwao College Park, Maryland.
 Mwalimu mpya wa hesabati Cechelela Timo akiwafundisha hesabu kwa kiswahili wanafuzi wa darasa la kiswali DMV.
 Mwalimu Asha Nyang'anyi akiwaelekeza jambo wanafunzi wa darasa la kiswahili DMV.
 Mmoja ya wanafunzi Briana akiwasomea kitabu cha hadithi wanafunzi wenzake.
 Miss Tanzania USA Pageant Joy Kalemera akimuelekeza kitu mmoja ya wanafunzi wa darasa la kiswahili DMV. Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog
No comments:
Post a Comment