Mfanyakazi wa Kampuni
ya Uwakala wa ajira ya Erolink, Zabida Kibiki akimvisha shuka baada ya
kumkabidhi msaada huo John Shitundu ambaye ni miongoni mwa wazee waliopo
chini ya kituo chaTushikamane Pamoja Foundation wakati wafanyakazi
wa kampuni hiyo walipokwenda kutoa misaada mbalimbali kwa wazee hao
wanaoishi katika kituo hicho kilichopo Yombo Kilakala jijini Dar es
Salaam. Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa ikiwemo
mashuka ,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia chakula vyenye thamani
ya zaidi ya shilingi milioni 2.5. Kushoto anayeshuhudia ni Mwenyekiti wa
kituo hicho Rose Mwapachu.
Meneja Mikataba wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink, Taddious Theodore akimkabidhi msaada wa Shuka Julieth Mchanga kwa niaba ya wazee wenzake 45, wakati wafanyakazi
wa kampuni hiyo walitembelea kituoni hapo kutoa misaada mbalimbali kwa
wazee wasiojiweza katika kituo cha Tushikamane Pamoja Foundation Yombo
Kilakala jijini Dar es Salaam, vitu mbalimbali vilitolewa ikiwemo mashuka ,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia chakula vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 2.5.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink wakiwa
katika picha ya pamoja na wazee wasiojiweza wa kituo cha Tushikamane
Pamoja Foundation ilichopo Yombo Kilakala wakati walipokwenda kuwapa
msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo mashuka, blanketi,vyote vyenye
thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 2.5
.Wafanyakazi wa Kampuni ya Uwakala wa ajira ya Erolink wakiwa na mizigo mbalimbali ya vyakula wakati walipokwenda kutoa misaada mbalimbali kwa wazee wasiojiweza katika eneo la Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam, wanaolelewa na Kituo cha Tushikamane Pamoja Foundation kilichopo Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam. vitu mbalimbali vilitolewa ikiwemo mashuka ,blanketi , mchere na mafuta ya chakula vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 2.5.
Baadhi
ya wazee wanaoishi na kutunzwa katika Kituo cha Tushikamane Pamoja
Foundation kilichopo Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam,wakicheza
pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Uwakala wa ajira ya
Erolink walipowatembelea wazee hao mahususi kwa kutoa msaada wa vitu
mbalimbali kama vile mashuka ,blanketi , mchele na mafuta ya kupikia
chakula vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 2.5.
No comments:
Post a Comment