Friday, April 11, 2014

MABONDIA MIYEYUSHO,CHEKA,KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA


Bondia Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi katikati ni Promota Jay Msangi Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com




Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba kushoto ni bondia Gavad Zohrehvand wa Iran picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com




BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WAKIPATA TASWILA MBAKLIMBALI ZA MABONDIA WAKATI WANAPIMA UZITO

Na Mwandishi Wetu
 Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi' Mawe na  Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba

Mpambano huo wa raundi kumi utasindikizwa na mabondia Fransic Cheka na
bondia Gavad Zohrehvand wa Iran atakaecheza raundi 8

mbali na mapambano hayo kutakuwa na mpambano mwingine utakaowakutanisha mabondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' atakae pambana na Mustafa Doto mpambano wa Raundi sita pia kutakuwa na mapambano mengi ya utangulizi yatakayosindikiza mchezo huo
katika ukumbi wa PAT Sabasaba Dar es salaam 
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

No comments:

Post a Comment