Friday, April 4, 2014

TIMU YA TANZANIA MOVIE TALENTS YAVAMIA STUDIO ZA PASSION FM MWANZA NA KUFANYIWA MAHOJIANO NA FILBERT KABAGO


Mc Pilipili Akiongea wakati wa Mahojiano katika Kipindi cha Michano kinachoendeshwa Na Filbert Kabago kutoka Redio ya Passion Fm wakati timu ya Kusaka Vipaji vya Kuigiza Walipotembelea Studio za Redio hiyo zilizopo Mwanza.
Meneja Mradi wa Shindano la Kusaka Vipaji Vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Bw Joshua Moshi akiongea katika kipindi cha Michano kinachoendeshwa na Filbert Kabago kutoka Passion Fm.
Mmoja Wa Majaji katika Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Bw Single Mtambalike akiongea wakati wa kipindi cha Michano Katika studio za Passion Fm muda mfupi uliopita.
Baadhi ya Timu ya Tanzania Movie Talents wakiwa katika picha ya Pamoja na Mwendeshaji wa Kipindi cha Michano, Bw Filbert Kabago mara baada ya kumaliza mahojiano katika Kipindi cha Michano kinachorushwa na Kituo Cha Redio cha Passion FM Mwanza

No comments:

Post a Comment