KAMATI YA MAJI KING'ONGO DAR WAKAGUA UJENZI WA MRADI WAO WA MAJI ULIOFADHILIWA NA TBL
Mkurugenzi Mtendaji
wa Kampuni ya MO Resources Limited,Onesmo Sigalla (kulia), akitoa
maelezo kwa kwa wajumbe wa Kamati ya Maji ya Mtaa wa King'ongo, Kata
ya Salanga, Kimara, Dar es Salaam, kuhusu hatua aliyofikia ya
usafishaji maji katika ujenzi wa kisima cha maji kilichojengwa kwa
msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kamati hiyo iliyokwenda
kukagua maendeleo ya mradi huo jana, iliongozwa na Mwenyekiti wa Mtaa
huo, Demetrius Mapesi (kulia). Wajumbe wengine ni Anna Kibwana (wa pili
kulia) na Emannuel Isimbula.
PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
No comments:
Post a Comment