WAHANDISI TANESCO WATEMBELEA KIWANDA CHA SAO HILL KWA MAFUNZO KWA VITENDO JUU UKAGUZI WA UBORA WA NGUZO
Mhandisi Donart Makingi (Kushoto) kwa niaba ya Meneja wa Usalama kazini akitoa
maelekezo kwa wahandisi namna ya kuzingatia usalama katika eneo la kazi ikiwa
ni pamoja na kuto kupanda kwenye nguzo, ama kugusa vifaa vya kazi bila kupata
muongozo
No comments:
Post a Comment