Kaimu Mkurugenzi Mkuu , Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Dkt. james Diu (Kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya wakati alipotembelea Makao makuu ya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kujionea shughuli zinazofanywa na TCAA.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Kiusalama wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), akifafanua wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya Makao Makuu ya TCAA jijijni Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya akimsikiliza
kwa makini Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA)Rubeni Ruhongore wakati alipokuwa akimuelezea shughuli
zinazofanywa na TCAA wakati Waziri huyo alitembelea Makao Mkuu ya Mamlaka hiyo kwa ajili ya ziara ya kujionea shughuli zinazofanywa na Mamlaka hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum , Prof Mark Mwandosya akikabidhiwa Nyaraka ya Sheria ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dk.
James Diu , wakati alipofanya ziara ya kikazi Makao Makuu ya ofisi hiyo
jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza na kujionea shughuli
mbalimbali zinazofanywa hapo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu , Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) Dk. james Diu( Kushoto)akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Prof. Mark Mwandosya mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi makao
makuu ya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kujionea
shughuli mbambali zinazofanywa na TCAA. Kulia anayeshuhudia ni
Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka ya TCAA, Rubeni Ruhongore.
Meneja Mahusiano wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini –(SUMATRA) David Mziray akifafanua jambo wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya TCAA makao makuu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na Mamlaka zingine za Udhibiti Nchini wakati alipotembelea Makao Makuu ya TCAA, Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na Mamlaka zingine za Udhibiti Nchini wakati alipotembelea Makao Makuu ya TCAA, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment