Mwenyekiti
wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya
Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akipata maelezo katika
Banda la TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni, Dodoma kutoka kwa
Afisa Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (kulia). Katikati ni Afisa Mkuu wa
TPA, Bi. Lydia Mallya.
Mwenyekiti
wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya
Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akisaini kitabu cha wageni
wakati alipotembelea Banda la TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni,
Dodoma. Kushoto ni Afisa Mkuu wa TPA, Bi. Lydia Mallya na Afisa
Mawasiliano, Bw. Focus Mauki (kulia).
Mwenyekiti
wa ALAT Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya
Kondoa, Bw. Hamis Abdallah Mwenda (kushoto) akiwa katika picha ya
pamoja na Maafisa wa TPA na Wageni wengine wakati alipotembelea Banda la
TPA lililopo viwanja vya nanenane Nzuguni, Dodoma.
Afisa
Mawasiliano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari TPA Focus Mauki (kulia)
akiwaelezea kuhusu huduma zinazotolwa na TPA, baadhi ya wakazi wa mkoa
wa Dodoma waliotembelea banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari TPA
lilopo kwenye maonesho ya NaneNane ya Kanda ya Kati yanayoendela katika
viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma.
Baadhi
ya wanafunzi waliotembelea banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari TPA
wakimsikiliza kwa makini Afisa Mawasiliano wa Mamlaka hiyo Focus
Mauki,wakati walipotembelea banda hilo lwa ajili ya kujifunza shughuli
mbalimbali za bandari katika Maonesho ya Nanenane Kanda ya kati
yanayoendelea kwenye viwanja vya vya Nzuguni mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment