Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji
wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia) baada ya
kupokea hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 40 msaada uliotolewa kwa
ajili ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayotarajiwa kufanyika
wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama
Barabarani nchini, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo
yalifanyika katika Ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam
leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame
Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea
hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa
Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma
Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama
Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga.
Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini
Dar es Salaam leo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (katikati) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea hundi ya Sh. Milioni 40 kwa ajili ya maandalizi ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Puma Energy nchini, Philippe Corsaletti (kulia). Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inatarajiwa kufanyika wiki ijayo, jijini Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga. Makabidhiano hayo yalifanyika katika ukumbi mdogo wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara yaMambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:
Post a Comment