Kamishna
wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), Daniel Machemba
katikati akikata utepe kaushiria uzinduzi wa mabango ya kuelimisha
Ukimwi na masuala mbalimbali ya kuwajengea uwezo vijana yatakayosambazwa
katika vyuo vikuu mbalimbali na Shirika la Vijana Tayoa. Anayefuata
kulia ni kamishna mwingine Diana Chilolo, Mkurugenzi wa Tayoa Peter
Masika. Kulia ni Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, Emmanuel
Mushi na Kamishna wa Tacaids, Faraja Kotta Nyalandu.
Kamishna
wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi, Diana Chilolo akimkabidhi zawadi
Mhadhiri wa Chuo cha IFM, Emmanuel Mushi kwa chuo hicho kushirikiana na
Shirika la Vijana tayoa katika mapambano dhidi ya Ukimwi. Nyuma yake ni
kamishna mwingine, Faraja Kotta Nyalandu, Kamishna Daniel Machemba na Mkurugenzi Mkazi wa Tayoa Peter Masika.
Kamishna
wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi, Diana Chilolo akimkabidhi zawadi
Mhadhiri wa Chuo cha IFM, Emmanuel Mushi (mbele shati la bluu) kwa chuo
hicho kushirikiana na Shirika la Vijana tayoa katika mapambano dhidi ya
Ukimwi. Pembeni yake ni kamishna mwingine, Faraja Kotta Nyalandu,
Kamishna Daniel Machemba na Mkurugenzi Mkazi wa Tayoa Peter Masika.
No comments:
Post a Comment