Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Mh. Ummy Mwalimu akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira. Wa kwanza kulia ni Mh. James Lembeli Mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Ummy Mwalimu (katikati) akiambatana
wajumbe wa Kamati katika ziara ya kukagua bwawa la kuhifadhia maji
katika mgodi wa Buzwagi.
Pichani
ni ujenzi wa awamu ya pili wa Kituo cha Afya cha Mwendakulima
kinachojengwa na Mgodi wa Buzwagi kwa ajili ya kuwasogezea wananchi
huduma bora za afya.
Baadhi nyumba zitakazotumiwa na waganga na wauguzi wa kituo cha afya cha Mwendakulima pindi kituo hicho kitakapoanza kutumika
Watatembelea leo lakini wakiondoka wawekezaji tunaachiwa mashimo na hakuna kamati yoyote inayoufatilia kwa nini hawajafukia mashimo yao. Tunafanyana watoto sana yaani
ReplyDelete