Maximilian Mapunda kutoka shirika la Afya Duniani (WHO-Country Officer) akiwasilisha mada kwenye kongamano hilo.
Na Andrew Chale, Bagamoyo
Pichani
ni baadhi ya picha za matukio ya siku ya pili, jana Novemba 25 kwenye
kongamano la Kisayansi la 31, '31th Annual Scientific Conference and
Annual General Meeting'.. lililoandaliwa na Tanzania Public Health
Association (TPHA).
Mkutano huo unafanyika mjini hapa Bagamoyo katika Ukumbi wa Stella Maris, Bagamoyo, Pwani Tanzania.
Kongamano
hilo la kisayansi la 31, limeanza Novemba 24 linatarajia kuwa la siku
tano na kutarajia kumalizika Novemba 28 ambapo wataalamu wa afya na
wadau watajadilina mambo mbalimbali ya afya hapa nchini.
Katibu Mtendaji wa TPHA Taifa, Dk. Oberlin Kisanga akiwasilisha mada maalum kwenye kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment