Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete
(kulia) akiwaonyesha jezi yenye jina la Tanzania kwa wageni waalikwa
pamoja na wananchi waliohudhuria hafla ya kutoa Kibali kwa ajili ya
ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Umma uliopewa jina la Rais Jakaya Mrisho
Kikwete Youth Park. Tukio hilo limefanyika leo 1 Novemba, 2014 eneo la
Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete
akiwahutubia wageni waalikwa, wafanyakazi mbalimbali wa Kampuni ya
Symbion pamoja na wananchi wakati wa hafla ya kutoa Kibali chake kwa
Chuo cha Michezo cha Sunderland kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo
wa Umma uliopewa jina la Rais Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park. Tukio
hilo limefanyika leo 1 Novemba, 2014 eneo la Kidongo Chekundu jijini Dar
es Salaam.
Mkurugenzi
wa Biashara wa Chama cha Michezo cha Sunderland, Bi. Gary Hutchinson
akimkabidhi zawadi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Profesa
Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kutoa Kibali chake kwa ajili
ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Umma uliopewa jina la Rais Jakaya
Mrisho Kikwete Youth Park. Tukio hilo limefanyika leo 1 Novemba, 2014
eneo la Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam.
Mtoto
akimsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Profesa Jakaya
Mrisho Kikwete kuweka maji katika shina la mche wa mnazi wakati wa
hafla ya kutoa Kibali kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Umma
uliopewa jina la Rais Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park. Tukio hilo
limefanyika leo 1 Novemba, 2014 eneo la Kidongo Chekundu jijini Dar es
Salaam.PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DSM
No comments:
Post a Comment